Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Kuota mambo ambayo yamepangwa kwenye ulimwengu WA roho inamanisha you have part of that spirit ambazo zimepanga yatokee au spirit ambayo inaweza kuona huo mpango . So swala SIo kutabiri swala ni roho ipi inahisika?

Tulikosea ilibidi tuombe tupinge hio ajali isitimie katika ulimwengu wa mwili.
 
Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Ulimbiwa uombe ajali isitokee, sio umuite mtabiri mpumbavu. Unatakiwa kufahamu kuwa ujumbe si lazima upitie kwa walokole wenzako. MUNGU anaweza tumia hata mpagani kufikisha ujumbe.
 
Kuna watu wa ajabu sijui akili haziwatoshi yaani wanataka itokee kama alivyosema jamaa yaani hawaelewi maana ya utabiri
 
Kati ya watu wote wa mwanzo kukomenti, Mzee wa Kilinge ulikomenti kwa kulinda heshima yako[emoji122]
Mzee tuko msibani alafu unatuchekesha aise🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…