Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

.
Mkuu umeomba vizuri ila kulikuwa na haja gani ya kumtukana jamaa?

Hebu shuka hapo chini​

Mit 26:4-12 SUV​

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye. Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake. Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.

Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Kama mfuko wa vito katika chungu ya mawe; Kadhalika mtu amheshimuye mpumbavu. Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.

Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao. Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake;

Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena. Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.
 
Mzee wa abracadabra
 
Wafuga majini popote walipo muda wote wanaomba mabaya yatokee hasa yanayohusu wanawake na watoto.
 
Umeshahitimisha itatokea, kivipi tena tuombe isitokee.

Au mimi nina makengeza ya masikio.

Kwa vile ni utabiri, basi tabiri upya na kinyume nyume chake.
 
.
Kwahiyo mtoa mada ni mpumbavu? Nieleweshe upumbavu wake uko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…