Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Salaam Aleykum

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo. Tuombe Mungu aepushe lakini kama ni maandiko basi yatimie.

1. Ndege itakuwa na Logo yenye rangi nyekundu.
2. Ndege itakatika vipande viwili katikati.
3. Maiti au majeruhi wa mwanzo kuokolewa watakuwa watoto.

Tusaidiane kuomba Mungu kwa pamoja ili ikiwezekana ajali hiyo isitokee
Who are you bro?
 
Mkuu yametokea...japo si kwa kiwango ulichotabiri
 
Vipi kwani jamani!!??
Screenshot_20221106-095801.jpg
 
Back
Top Bottom