TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Kwanini usiwaAlert si bado hawajasafiriSalaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usiwaAlert si bado hawajasafiriSalaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo ...
Hatari sana.Nilikuwa na safari ya kwenda Dubai nitafanyaje sasa
Katika Jina la Yesu aliye hai ajali na ibakie kichwani mwako tu.Salaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo...
Tukio kama hilo likitokea kweli jiandae kujibu mashtaka na utaozea jera tofauti na hvo watafute shirika husika uwaambie wasitishe safari siku hiyoSalaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nasikitika kusema kwama siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria...
WatamuelewaTukio kama hilo likitokea kweli jiandae kujibu mashtaka na utaozea jera tofauti na hvo watafute shirika husika uwaambie wasitishe safari siku hiyo
Umekuja kivingne na ramli zakoMsimdhihaki Huyu mshikaji hebu tafuteni nyuzi zake na comment alizowahi kuandika hakoseagi.
Unavunja kwa kutumia nyundo au nini? Na hiyo damu ya yesu umeipata wapi? Halafu damu inafunika au unaipaka angani? Hivi unaweza kupaka rangi upepo?Wewe ni mpumbavu hakuna ajali itakayotokea IN JESUS NAME
Navunja roho zote chafu
Na kulifunika anga lote kwa damu takatifu ya YESU! Amen
Kama kipi alitabiri kikawa kweli??Msimdhihaki Huyu mshikaji hebu tafuteni nyuzi zake na comment alizowahi kuandika hakoseagi.