Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Huo utabiri ulikuwa kabla ya Vita vya Urusi na Ukraine ila kwasasa ni kuwa utabiri unaonyesha Simba atashinda 4-0Kwa wale tulio mabingwa wa kutabiri mechi hapa Tanzania tuanzeshe kutabiri mechi hii muhimu kwa taifa la Tanzania
Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0
Leo asubuhi pia nmeota
Orlando pirates 5___0 simba
Mechi itaisha kwa mashabiki kung'oa viti na kuiba .....VAR
Dondosha utabiri wako hapa
View attachment 2181347
Kuna utopolo mwenzako juzi alitabiri kwamba Simba anafungwa na US Gendermarie hadi akatoa laki mbili kwa sheikh ili amfanyie utabiri. Aliahidi mambo mabaya endapo simba atashinda.Time will tell
Bebii kumbe na wewe ni wa msimbazi Kama Mimi..Safi sanaYaan utopolo bhana, badala uwe buzzy na team yako kuifanya pre analysis dhidi ya GGM kombe la FA, wee kutwa kuwashwa na chama kubwa linalowakilisha Taifa. Lol
Maumivu yakiwazidi muwahi Mlonganzira, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mtu mzima mwenye akili timamu mwenye mapenzi na nchi yake anaweza kuposti kitu kama hikiKwa wale tulio mabingwa wa kutabiri mechi hapa Tanzania tuanzeshe kutabiri mechi hii muhimu kwa taifa la Tanzania
Utabiri wangu
Kila nikiangalia kwenye kioo naiona Simba ni underdog na Simba anakula. Kichapo cha 5_ 0
Leo asubuhi pia nmeota
Orlando pirates 5___0 simba
Mechi itaisha kwa mashabiki kung'oa viti na kuiba .....VAR
Dondosha utabiri wako hapa
View attachment 2181347