Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Baada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa.
Simba ambayo inashuka dimbani leo, itatoa droo ya 1-1 dhidi ya Raja Casablanca. Kutakuwa na red card pia katika mchezo huo.
Yanga ambayo inashuka dimbani jumapili, itaibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Tp Mazembe.
Huu ni utabiri tu, tena wa kwa mtazamo wangu, hivyo msijenge chuki...
Cc: CAPO DELGADO