Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Utabiri unabaki kuwa utabiriNakumbuka uliwahi kutabili Mayele tumepigwa mchana mweupe..
Mbona mmepaniki?Leo umefeli mwanetu
Na hii usisahau kutoka maktaba Moja Kati ya tabiri bora kuwahi kutokea hapa Jf ikiongozwa na uono wa kitakwimu Kibu D Vs MayeleUtabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0. Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini... Tupia na wako...www.jamiiforums.com
Tabiri na wewe sio unadandia vya wanaumeUle utabiri uliopita kwa yanga ulifeli ulisema atapigwa 3 bila ila akapigwa 2. Na leo kwa yanga umefeli tena kesho yanga anakufa 2 bila.
ππSijawahi kupingana na utabiri wako ila Leo Simba hiyo draw ataitafuta kwa tochi maana kila nikichungulia naona kipigo
Sio kila siku ni Jumatano. By the way, mechi zilizopita zilikuwa zinatabirikaBaada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa.
Simba 2-1 RajaBaada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa.
Simba ambayo inashuka dimbani leo, itatoa droo ya 1-1 dhidi ya Raja Casablanca. Kutakuwa na red card pia katika mchezo huo.
Yanga ambayo inashuka dimbani jumapili, itaibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Tp Mazembe.
Huu ni utabiri tu, tena wa kwa mtazamo wangu, hivyo msijenge chuki...
Cc: CAPO DELGADO
Kwa tulichokifanya usiku wa kuamkia Leo Mungu atusamehe bure...Raja wamekanyaga miiba.Baada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa.
Simba ambayo inashuka dimbani leo, itatoa droo ya 1-1 dhidi ya Raja Casablanca. Kutakuwa na red card pia katika mchezo huo.
Yanga ambayo inashuka dimbani jumapili, itaibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Tp Mazembe.
Huu ni utabiri tu, tena wa kwa mtazamo wangu, hivyo msijenge chuki...
Cc: CAPO DELGADO