Utabiri: Simba bingwa wa CAF 2023

Aiseee[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika hili la January ?

Huyo Peter Nada ndiyo yupi ?
 
Fc Porto 2003 ilikuwa na top players wapi ?
 
Mkuu sema kweli
 
Tunajenga timu. Hatuna pressure za unbeaten kama nyie Uto. Lengo lingekuwa kupata ushindi kwa namna yoyote ile tungekuwa tunaongea tofauti sasa hivi.
Sentensi shurtia..!! TUNGE TUNGE TUNGE tena..!! 😂 😂 😂
 
Kama we ni mzalendo watabirie na Yanga🇹🇿😂 Tanzania kwanza
Yanga pia watapata wanachostahili. Bila Feisal watatetereka. Wangeachana naye mapema ingekuwa rahisi kuadjust haraka. Hii kukaa na kuwa na matumaini kuwa anarudi itawasumbua.
 
Kumbuka Raja Casablanca nao wapo

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Ninachowakubali Simba ni pale mnapopata matokeo mazuri mnaweza sana kujitutumua. Safi sana

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…