Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikawaje?Embu waambie hawa Uto. Hawajui watu tumewahi kucheza huku kombe la CAF lipo uwanjani linasubiri mshindi.
Katika hili la January ?Nilitegemea Simba Ili wafike Angalau Nusu failani ya CAF.
Lazima uachane na wachezaji wafuatao.
Nelson Okwa.
Victor Akpan.
Sadio Kanute.
Mohamed Ottara.
Peter Nada.
Okra.
Wachezaji wa Nyumbani.
KIBU Denis.
Habib Kyombo.
Erasto Nyoni.
John Boko. Na
Gadiel Michael.
Hawa wachezaji Kwa sasa hawana Hadhi ya kuwa Simba.
Hawawezi kufika Nusu Fainali.
Fc Porto 2003 ilikuwa na top players wapi ?Timu zinazoweza kushindania kombe lolote iwe CAF au UEFA lazima ziwe na top players nje ya hapo tuendelee kubishana Mambo yetu ya kipuuzi ya kwenda Dubai tu...., Timu inayoshindwa kufanya usajiri hata wa 300m ichukue kombe [emoji28][emoji28]. Utajikojolea amka usingizini...
Mkuu sema kweliNatoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu.
Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions League.
Najua kuna wapenzi wa Simba bado wanalilia kuona usajili mpya ili kuboresha timu ila ngoja nikwambie kitu. Inashangaza watu wanalilia wachezaji waondolewe ambao hata siyo tegemeo kwa timu.
Championship team katika mashindano yoyote, vilabu, taifa inahitaji wachezaji 13 hadi 15 tu wa kutegemea, yaani first 11 na sub 2 hadi 4 zinazoweza kuongeza nguvu pale inapohitajika. Simba timu hiyo wanayo.
Ambacho mimi ningefanya ni kuangalia jinsi ya kuboresha upande wa beki wa kushoto, mipira mingi inapotea kutokea kule. Ikibidi nngemsogeza Zimbwe mbele kama winger anaweza kufanya vizuri zaidi position hiyo. Kwa kuongezea tu Outtara ni mchezaji mzuri ni suala la kuangalia tunamtumiaje.
Ila wachezaji 15 wa kusumbua CAF tunao.
Lipumba hana caf.Ana CUF.Sii Yuu Efu.Sijakuelewa unamaanisha bingwa wa caf ya lipumba ama caf ipi labda?
Sentensi shurtia..!! TUNGE TUNGE TUNGE tena..!! 😂 😂 😂Tunajenga timu. Hatuna pressure za unbeaten kama nyie Uto. Lengo lingekuwa kupata ushindi kwa namna yoyote ile tungekuwa tunaongea tofauti sasa hivi.
Yanga pia watapata wanachostahili. Bila Feisal watatetereka. Wangeachana naye mapema ingekuwa rahisi kuadjust haraka. Hii kukaa na kuwa na matumaini kuwa anarudi itawasumbua.Kama we ni mzalendo watabirie na Yanga🇹🇿😂 Tanzania kwanza
Kumbuka Raja Casablanca nao wapoNatoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu.
Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions League.
Najua kuna wapenzi wa Simba bado wanalilia kuona usajili mpya ili kuboresha timu ila ngoja nikwambie kitu. Inashangaza watu wanalilia wachezaji waondolewe ambao hata siyo tegemeo kwa timu.
Championship team katika mashindano yoyote, vilabu, taifa inahitaji wachezaji 13 hadi 15 tu wa kutegemea, yaani first 11 na sub 2 hadi 4 zinazoweza kuongeza nguvu pale inapohitajika. Simba timu hiyo wanayo.
Ambacho mimi ningefanya ni kuangalia jinsi ya kuboresha upande wa beki wa kushoto, mipira mingi inapotea kutokea kule. Ikibidi nngemsogeza Zimbwe mbele kama winger anaweza kufanya vizuri zaidi position hiyo. Kwa kuongezea tu Outtara ni mchezaji mzuri ni suala la kuangalia tunamtumiaje.
Ila wachezaji 15 wa kusumbua CAF tunao.
Ninachowakubali Simba ni pale mnapopata matokeo mazuri mnaweza sana kujitutumua. Safi sanaNatoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu.
Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions League.
Najua kuna wapenzi wa Simba bado wanalilia kuona usajili mpya ili kuboresha timu ila ngoja nikwambie kitu. Inashangaza watu wanalilia wachezaji waondolewe ambao hata siyo tegemeo kwa timu.
Championship team katika mashindano yoyote, vilabu, taifa inahitaji wachezaji 13 hadi 15 tu wa kutegemea, yaani first 11 na sub 2 hadi 4 zinazoweza kuongeza nguvu pale inapohitajika. Simba timu hiyo wanayo.
Ambacho mimi ningefanya ni kuangalia jinsi ya kuboresha upande wa beki wa kushoto, mipira mingi inapotea kutokea kule. Ikibidi nngemsogeza Zimbwe mbele kama winger anaweza kufanya vizuri zaidi position hiyo. Kwa kuongezea tu Outtara ni mchezaji mzuri ni suala la kuangalia tunamtumiaje.
Ila wachezaji 15 wa kusumbua CAF tunao.
Shikilia hapo hapo mwanamsimbazi mwenzanguMdogo mdogo tutafika tu 💪