Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkishaingia dimbani kila timu ina korodani 22 upande wake, gharama za mchezaji hazihusiki, ni suala la boli kutembea tu.Timu zinazoweza kushindania kombe lolote iwe CAF au UEFA lazima ziwe na top players nje ya hapo tuendelee kubishana Mambo yetu ya kipuuzi ya kwenda Dubai tu...., Timu inayoshindwa kufanya usajiri hata wa 300m ichukue kombe 😅😅. Utajikojolea amka usingizini...
Ila wewe jamaa utafikiri wale wanaodai Katiba Mpya kwenye jukwaa la Siasa.Nilitegemea Simba Ili wafike Angalau Nusu failani ya CAF.
Lazima uachane na wachezaji wafuatao.
Nelson Okwa.
Victor Akpan.
Sadio Kanute.
Mohamed Ottara.
Peter Nada.
Okra.
Wachezaji wa Nyumbani.
KIBU Denis.
Habib Kyombo.
Erasto Nyoni.
John Boko. Na
Gadiel Michael.
Hawa wachezaji Kwa sasa hawana Hadhi ya kuwa Simba.
Hawawezi kufika Nusu Fainali.
Hawa wachezaji wako wa Mia Mia Hawa!!Mkishaingia dimbani kila timu ina korodani 22 upande wake, gharama za mchezaji hazihusiki, ni suala la boli kutembea tu.
Sijakuelewa unamaanisha bingwa wa caf ya lipumba ama caf ipi labda?Natoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu.
Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions League.
Najua kuna wapenzi wa Simba bado wanalilia kuona usajili mpya ili kuboresha timu ila ngoja nikwambie kitu. Inashangaza watu wanalilia wachezaji waondolewe ambao hata siyo tegemeo kwa timu.
Championship team katika mashindano yoyote, vilabu, taifa inahitaji wachezaji 13 hadi 15 tu wa kutegemea, yaani first 11 na sub 2 hadi 4 zinazoweza kuongeza nguvu pale inapohitajika. Simba timu hiyo wanayo.
Ambacho mimi ningefanya ni kuangalia jinsi ya kuboresha upande wa beki wa kushoto, mipira mingi inapotea kutokea kule. Ikibidi nngemsogeza Zimbwe mbele kama winger anaweza kufanya vizuri zaidi position hiyo. Kwa kuongezea tu Outtara ni mchezaji mzuri ni suala la kuangalia tunamtumiaje.
Ila wachezaji 15 wa kusumbua CAF tunao.
Unaitikia amina kwani ni dua hiyo mkuu?Aminaaaaaaa
Yaani kabisa umesema na aminaaa..!!! Kama mmefungwa na wale wa jana mnadhani mtawaweza wa huko..!!?? Yetu machoAminaaaaaaa
Mmepigwa jana na timu ya mwisho kwenye ligi ya kwao..!!Mpaka sasa sijaona mtu anayepinga kuwa Simba ina squad ya wapambanaji 15 wa kuleta ushindani wa kweli CAF. Uto mnajichekesha chekesha tu.
Sidhani kama kumewahi kuwa na tuhuma au tetesi za mtumiaji wa madawa ndani ya Simba. Ganja watumiaji wapo wengi hadi Uto mnao na sijawahi kuihesabu kama drugs.Mimi huwa nikisema natukanwa. Haya oneni wenyewe madhara ya matumizi ya madawa[emoji23][emoji23]
Ile kitu ya Msimbazi inamaliza ndugu zetu. Halafu inaonekana wanaikamia sanaView attachment 2480933
Ila mkuu unanifurahishaga...inamaana Simba hawakusikii tuu toka uanze kuhubiri hili