Utabiri: Simba ikifungwa na Yanga itamtimua kocha Fadlu Davis

Yaani wewe unawadhalilisha Mashabiki wa Yanga, Kuposti kila thread kumuongelea Mpinzani wako kila nyuzi nikuonesha kuna kitu kwenye akili yako kina kasoro. Siku nyingine mtaje hata Tanzania Prison au Ihefu wewe kila siku in Simba tu??
Unajiaibisha na unaonekana wewe ni Shabiki sio Mwanaspoti
 
Itachukuwa mwaka mwingine simba kufikia ile ya 2017-2020.

Unaona kabisa wachezaji hawana speed, wanacheza kichovu sana...tabora walikuwa na makosa mengi sana....ilipaswa kuadhibiwa sana...
 
Kumbuka hiyo simba inaongoza ligi baada ya kucheza mchezo mmoja! Na Yanga inashika mkia. Kwa hiyo sisi mashabiki wa simba tunaamini Simba ndiye bingwa msimu huu, na hatuwezi kufungwa trna na yanga.
 
Kumbe uliona
 
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…