Utabiri: Simba kesho tarehe 03 Aprili 2021 itafungwa na AS Vita

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣upuuzi mtupu!
 
Enzi za akina mfalme Nebuchardinezer watu kama wewe mlikua mnatupwa kwenye bwawa la mamba wenye njaa ya siku 7.
 
Simba itafanya watu wakimbie Uzi zao za kabla ya mechi
 
ona sasa ulivo aibika kwani ukiwa utopolo ndio ndio na akili unakosa njoo ufute uchafu wako
 
Bila ufala wa Mugalu leo mtu angekula 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…