Utabiri: Simba kesho tarehe 03 Aprili 2021 itafungwa na AS Vita

Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu yangu pendwa ya simba tutafungwa goli 2 kwa 1 na timu ya AS Vita. Naomba kuwasilisha wanamsimbazi wenzangu.

#Simba nguvu1
BAADA YA MECHI MJE MTOE USHUHUDA HAPA
Updates: mpira umeisha hongera timu yangu ya simba kwa kutinga robo fainali. Uzi umefungwa utopolo mtaisoma namba kwakweli mwaka huu
IMG-20210404-WA0007.jpg
 
Hahahahaahahahhahahahaahahahhahaahahhahahahahahaahahahahhahahaahhahahaahahaahhahahahahaahhahaahahhahahhhaahhaahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahhahahahaahhahahahahahhahahahahahahahhahahahahahahhahahahahahhahahhahafalaweehahahahahhaahhahahahahahaahahhahahaha
Eti inafungwa, harafu hongera
 
Back
Top Bottom