UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya robo fainali CAF Champions 2023/2024

Yaani nionavyo mimi hizi timu hazifiki popote pale, zitaishia kwenye makundi tu au zitupwe shirikisho huko.

Uzi tayari, povu ruksa.
Unatumia vigezo gani?
Nadhani utaratibu na kanuni za CAFCL msimu huu zimebadilika ukitolewa CL hakuna nafasi ya kwenda Confederation Cup.
 
Kwa namna timu zote mbili zilivyoanza kwa kusuasua kwenye mechi zao za mwanzo, uko sahihi kabisa kuanzusha huu utabiri wako.

Ila kwa upande wangu naiombea heri timu yangu ya Wananchi Yanga kusonga hatua inayofuata. Maana inastahili. Na uzuri wahenga walisema kujikwaa siyo kuanguka.

Hivyo hawatakiwi kukata tamaa. Ushindi ni muhimu kwao kwenye mechi zinazofuata.
 
Bado kuna mechi tano kati ya sita msha anza kukata tamaa! eleza sababu za msingi sio maneno tupu kipindi kile Simba anapigwa bao tano Congo na Egypt bado alifuzu last season Yanga alianza kwa kupoteza away akafika final, same to Simba alipoteza mechi mbili za mwanzo akafika robo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…