Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara.
Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema ni mgumu kwa mtibwa? Huu mchezo wameukamia sana wakitaka kuonyesha kile walicho kifanya Mbeya city.
Mtibwa hawana quality kiuchezaji msimu licha ya kuloga sana. Simba wamejianda vilivyo nje na ndani ya uwanja kesho mnyama ataibuka na ushindi usiopungua goli tatu na kuendelea. Kuna mahali tuliteleza dhidi ya mbeya city wakatuzidi ujanja sasa tumerudi imara zaidi kazi Iendelee.