Utabiri: Simba SC kuibuka na ushindi mnono Jumamosi

Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara.

Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema ni mgumu kwa mtibwa? Huu mchezo wameukamia sana wakitaka kuonyesha kile walicho kifanya Mbeya city.

Mtibwa hawana quality kiuchezaji msimu licha ya kuloga sana. Simba wamejianda vilivyo nje na ndani ya uwanja kesho mnyama ataibuka na ushindi usiopungua goli tatu na kuendelea. Kuna mahali tuliteleza dhidi ya mbeya city wakatuzidi ujanja sasa tumerudi imara zaidi kazi Iendelee.
Tupe matokeo ya huko Turiani.
 
Maneno meeeengiii Kama muuza karanga, Mtaendelea kutaabika na gape la point ndo linazidi kuongezeka kudadadek usifikiri safari hii kuna ushindi wa bwelele Kama unavyofikilia
 
Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara.

Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema ni mgumu kwa mtibwa? Huu mchezo wameukamia sana wakitaka kuonyesha kile walicho kifanya Mbeya city.

Mtibwa hawana quality kiuchezaji msimu licha ya kuloga sana. Simba wamejianda vilivyo nje na ndani ya uwanja kesho mnyama ataibuka na ushindi usiopungua goli tatu na kuendelea. Kuna mahali tuliteleza dhidi ya mbeya city wakatuzidi ujanja sasa tumerudi imara zaidi kazi Iendelee.
Utabiri wako wa kweli kabisaa
 
Ngapi ngapi huko?
 
Kweli mmeshinda...
 
Mimi ni Simba kama wewe, Ila nakuambia hatuna uwezo wa kumfunga Mtibwa Sugar bao 3 pale manungu.. hatuna uwezo huo kabisa.. Hii game ni ngumu sana na Mtibwa Sugar hawatokuwa hawa we unawajua.. kikubwa we omba point 3 tu hata kwa bao moja.. la sivyo naiona Draw mapema sana[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Wananchi oyeeeeeH[emoji122][emoji122][emoji122]
Utafukizwa siku si nuingi
 
Mimi ni Simba kama wewe, Ila nakuambia hatuna uwezo wa kumfunga Mtibwa Sugar bao 3 pale manungu.. hatuna uwezo huo kabisa.. Hii game ni ngumu sana na Mtibwa Sugar hawatokuwa hawa we unawajua.. kikubwa we omba point 3 tu hata kwa bao moja.. la sivyo naiona Draw mapema sana😛😛😛😛😛

Wananchi oyeeeeeH👏👏👏
Dah kwa utabili huu nimempiga Kanji
 
Jina la mtu linaitwa MAWAWA

Kwa Lugha yetu ni takataka zinazopatikana katika Kucha.
 
We mleta uzi siku nyingine uwe unaleta mrejesho, vipi hizo goli nyingi zimepatikana ama umetulisha wana jf ulongo tu??
 
Back
Top Bottom