Utabiri: Spurs bingwa UEFA

Spazi atachukua ubingwa huo kwa kufunga bao moja, japo itaelemewa kwa kushambuliwa kwa kasi lakini mchezo utamalizika kwa SPAZI 1 na Livr 0.
Naenda weka mkeka spaz anaibuka na 3-2! Mimi arsenal ila nashangilia spaz ktk hili! Liver watakuwa runners up kila mahali!
 
Kumbukeni Liver tuna hasira yaan hasira zote zitakwenda kwa spurs huyu kama hatujamtia 5 mtungi sijui
Hiyo hasira ndiyo itakayofanya mpokee kichapo cha moja mtungi.
Huu uzi basement zake zipo KISAIKROJIA zaid.
 
Sawa mkuu
 
Waganga siku hizi mnasmatika ...
Nashawishika kudesa mkeka wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…