Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naenda weka mkeka spaz anaibuka na 3-2! Mimi arsenal ila nashangilia spaz ktk hili! Liver watakuwa runners up kila mahali!Spazi atachukua ubingwa huo kwa kufunga bao moja, japo itaelemewa kwa kushambuliwa kwa kasi lakini mchezo utamalizika kwa SPAZI 1 na Livr 0.
Sawa mkuuUlichoandika ni sawa ila sio fact bali ni matamanio yako. Yani kiufupi hutamani Liverpool ishinde CL.
Lakini inakuuma zaidi kwakuwa huna namna yoyote ya ku influence matokeo hiyo June 1.
Spurs anaweza kweli kuwa bingwa lakini Liverpool nae anaweza kuwa bingwa. Dakika 90 uwanjani ndio zitaamua nani ataibuka kidedea.
Ninayo