Utabiri: Spurs bingwa UEFA

Utabiri: Spurs bingwa UEFA

Spazi atachukua ubingwa huo kwa kufunga bao moja, japo itaelemewa kwa kushambuliwa kwa kasi lakini mchezo utamalizika kwa SPAZI 1 na Livr 0.
Naenda weka mkeka spaz anaibuka na 3-2! Mimi arsenal ila nashangilia spaz ktk hili! Liver watakuwa runners up kila mahali!
 
Kumbukeni Liver tuna hasira yaan hasira zote zitakwenda kwa spurs huyu kama hatujamtia 5 mtungi sijui
Hiyo hasira ndiyo itakayofanya mpokee kichapo cha moja mtungi.
Huu uzi basement zake zipo KISAIKROJIA zaid.
 
Ulichoandika ni sawa ila sio fact bali ni matamanio yako. Yani kiufupi hutamani Liverpool ishinde CL.

Lakini inakuuma zaidi kwakuwa huna namna yoyote ya ku influence matokeo hiyo June 1.

Spurs anaweza kweli kuwa bingwa lakini Liverpool nae anaweza kuwa bingwa. Dakika 90 uwanjani ndio zitaamua nani ataibuka kidedea.
Sawa mkuu
 
Waganga siku hizi mnasmatika ...
Nashawishika kudesa mkeka wako
 
Back
Top Bottom