OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Nadhani mjadala ufunguliwe rasmi, tujue kazi zote za tume!Shirikisha akili yako, kazi ya tume ni kusimamia uchaguzi.
Nitakukumbusha muda ukifika tuombe uzimaShirikisha akili yako, kazi ya tume ni kusimamia uchaguzi.
Hayo yote ukiyaweka pamoja kazi ya tume inabaki palepale, uchaguzi hauwezi kusimamiwa na NIDA.Nadhani mjadala ufunguliwe rasmi, tujue kazi zote za tume!
- Vile vipande vya uchaguzi vinatolewa na mamlaka ipi?
Kuna wazo zuri pia, kwamba kwanini nguvu kubwa isielekezwe kwenye NIDA, ID iwe full package, iwe na taarifa zote muhimu, ikibidi iwe electronic:
Etc
- Umri
- Jinsi
- Eneo ilipotolewa
- Picha
- Grupu la damu
- TIN
- Fingerprint
- Height
- Lineage
- Kabila
- Imani
Wakikusanya taarifa zote hizo, wakachagua za ku-display kwenye kipande, nyingine zikabaki nyuma ya pazia, tunaweza kuwa na database kamili kwa miaka mingi ijayo ikatumika!
Kuwa na:
Ni mzigo wa kijinga ukizingatia teknolojia ilipo!
- NIDA
- Kitambulisho cha Mpiga Kura
- Passport
- Kitambulisho cha Ajira
- Kitambulisho cha Itikadi
- Kadi za ATM
- Kadi ya Bima ya Afya
- Kitambulisho cha uanafunzi
- n.k
Hili ni bandiko la utabiri,
Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030.
Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho cha mpiga kura hakina matumizi mengine ya muhimu tofauti na kupiga kura, lakini NIDA ndio habari ya mjini yaani ni kama maji lazima uyanywe, bila NIDA lazima kuna mahari utakwama.
Itakuwa ngumu kwa mtu kupanga foleni ofisi ya kata au kijiji ili apate KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA wakati huo akikaa hapo zaidi ya masaa mawili.
Hii tume itavunjwa na kuundwa upya na kitambulisho cha kupiga kura kitakachotumika mwaka 2030 itakuwa ni kitambulisho cha NIDA.
Tuombe uzima yajayo yanafurahisha.
Duhhhhh! Hatari sana hio