Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Muda utaongea, time will tell
Kuna siku mbwa alibweka sana nikajua ni kawaida yake kumbe hiyo siku ndio nilikuwa naibiwa nyumbani sasa we weka NILIDHANI alafu uje na ushuuda kama wajinga wa waumini wa mwamposa.NILIDHANI UNA HOJA KUMBE NI REVELATIONS, VODOO, SUPERSTITION ......
Atakae tick october ajiandae pia Mungu atamtick kabla ya october mwaka ujao, Mungu yupo na hasira sana juu ya Taifa hili kuliko wakati wowote uleMimi nimejiandaa ku tick tu!iwe October, November, December,hats mei Mimi nita tick tu!
Mgombea awe huyu au yule Mimi na tick tu!!!!
KAZI na utu tunasonga mbele!!
REFORMS are inevitable.✍️📌Ulimwengu wa roho umenionyesha hili jambo mara kadhaa
Kuna sababu za msingi na zisizo za msingi zitatokea na kivyovyote uchaguzi utasogezaa mbele
Sababu hizo zitasababisha mgawanyiko baridi ndani ya CCM uishe na chadema watashiriki uchaguzi
Mlianza reform zitafanyika ndio maana bunge halijavunjwa, mkaja ikifika tarehe 19 Julai Rais atapoteza total control, mkaja uteuzi wa CCM utarudiwa. Orodha haiishi.Ulimwengu wa roho umenionyesha hili jambo mara kadhaa
Kuna sababu za msingi na zisizo za msingi zitatokea na kivyovyote uchaguzi utasogezaa mbele
Sababu hizo zitasababisha mgawanyiko baridi ndani ya CCM uishe na chadema watashiriki uchaguzi