Utabiri uchaguzi mkuu 2025

Una hoja katika baadhi ya maeneo.
 
Kama wapinzani wenyewe ni Zitto na Tundu basi mama atashinda mchana kweupe.
 
Wewe ndo walewale , hakuna utabiri sema wenda umeongea nini mnapanga, safari hii uchaguzi ukifanyika mtajua hamjui , ccm haipo na Kibali cha kutawa kilisha futwa ,asema Bwana
 
Wewe ndo walewale , hakuna utabiri sema wenda umeongea nini mnapanga, safari hii uchaguzi ukifanyika mtajua hamjui , ccm haipo na Kibali cha kutawa kilisha futwa ,asema Bwana
Mimi sio "walewale" huu ni utabiri huru ikiwa kila kitu kibaki constant hadi wakati huo.
 
Wewe pia umebashiri,niambie umetumia utafiti upi kujua huyo Hangaya unayemsema hapati 25% ya kura?
 
Hii ndio hasara ya kulala uchi Kama mchawi! Mwisho unaota ndoto za kichawi Kama hii,walau unavaa hata chp.
 
Ushindi ni zaidi ya kura za urais.
Kuwekeza nguvu kubwa kwenye urais hakuna maana kama utapata chini 35% ya wabunge.

Chama kitakachotoa rais na wakati huo huo kimeambulia chini ya 35% ya wabunge kitateseka sana kwenye uongozi wake.
 
Samia atashinda hata bila duri ya pili,huyo Lisu mnampaisha Bure tuu 😁😁
 
Ushindi ni zaidi ya kura za urais.
Kuwekeza nguvu kubwa kwenye urais hakuna maana kama utapata chini 35% ya wabunge.

Chama kitakachotoa rais na wakati huo huo kimeambulia chini ya 35% ya wabunge kitateseka sana kwenye uongozi wake.
Na Kwa Wabunge Chadema haiwezi kushinda ccm 🤣🤣
 
Wanaota 😂😂
 
Hii ndio hasara ya kulala uchi Kama mchawi! Mwisho unaota ndoto za kichawi Kama hii,walau unavaa hata chp.
Asante lakini hoja hujibiwa kwa hoja.Leta mtazamo wako juu ya hilo.
 
Utab

UTABIRI Fweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…