HUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.
(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.
(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%
Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.
(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO
(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%
Spika wa Bunge Zitto Kabwe.
MWISHO WA UTABIRI