Utabiri uchaguzi mkuu 2025

Kama 2026 ni mwaka wa kupatikana na kukamilika KATIBA mpya,

Ni dhahiri 2025 hapatakuwa na uchaguzi wowote wa HAKI Kutoa mshindi.

Ni sawa na kusema Uchaguzi hautofanyika.

Hivyo unaweza kuwa sawa ingawa,

Wa kwanza HATOGOMBEA labda umlazimishe wewe kwenye chama chako kipya.
 
huu ni Utabiri wa ovyo kabisa kuwahi kutolewa.
 
huu ni Utabiri wa ovyo kabisa kuwahi kutolewa.
Mkuu kwanini umekuwa na mtazamo huo.Labda tu nikuhakikishie binafsi hata Mimi ninayetabiri sifurahishwi na utabiri huu,lakini ni lazima tukubali hali halisi.
 
Mchakato wa katiba mpya tumetangaziwa na mamlaka kwamba ni baada ya elimu ya miaka mitatu.Kwa vyovyote vile katiba mpya haitarajiwi kabla ya October 2025.Kinachowezekana walau mpaka wakati huo ni minimum reform kwenye sheria za uchaguzi na tume huru ya uchaguzi.Ndiposa nikatabiri kitakachotokea katika mazingira hayo.
 
Mwenendo wa aliyepo, haumpi nafasi kugombea!!
 
Haichekeshi.
 
Aliekuwa anamghasi lisu kwa kujaribu kuumua lisu yeye yupo wapi leo??
Mungu sio mjomba wenu. Mahakama ya Mungu haina rufaaa
 
Aliekuwa anamghasi lisu kwa kujaribu kuumua lisu yeye yupo wapi leo??
Mungu sio mjomba wenu. Mahakama ya Mungu haina rufaaa
kwahiyo rais Hage Gainbo wa namibia na Ebrahim Raisi wa Irani walikua wanamgasi Lisu?

ukiamini shirikina na uchaiwi unakua unawaza kipepo sana, na kwakweli unakua mtumwa mbaya mno wa roho na mawazo ya vikifo na mauti tu πŸ’

nakuombea roho mtakatifu ahuishe nafsi yako, uwaze kama binadamu asie kwenye shinikizo la chuku moyoni mwake..
Aimen πŸ™
 
HAGE HAKUIBA KURA KAFARIKI KWA MARADHI

IBRAHIM RAIS ALIKUWA JANGILI KAMA MWNDAZAKE NDIO MAANA WANAWAKE WALISHANGILIA KUFA KWAKE KAMA BONGO WATU WALIVOSHANGILIA MUNGU KUINGILIA KATI
 
HAGE HAKUIBA KURA KAFARIKI KWA MARADHI

IBRAHIM RAIS ALIKUWA JANGILI KAMA MWNDAZAKE NDIO MAANA WANAWAKE WALISHANGILIA KUFA KWAKE KAMA BONGO WATU WALIVOSHANGILIA MUNGU KUINGILIA KATI
nina mashaka makubwa sana na Imani yako juu ya mwenye mamlaka na zawadi hii ya uhai na afya ambayo tunaenjoy vizur sana tena bure sisi kama wanadamu πŸ’

yawezekana wew mzenzetu umeadvance kidogo kwenye ramli, uchawi na ushirikina ndio maana unaweza kusema fulani kafa kwasabb hii na mwingine kafa kwasabb ile πŸ’

wengine tunashukuru Mungu kwa kwa kila jambo, hususani kwa fumbo hilo la kipekee sana la kifo, na tunaimani kua nasi siku moja atatuita apendavyo yeye tukihitimisha ile kazi ambayo ametuumbia tuitimize hapa duniani tukiwa hai πŸ’
 
Inabidi tupate TAFSIRI ya maneno haya toka BAKITA:
-Utabiri
-Ndoto
-Matazamo/Mawazo
Ila nami naamini kutakuwa na Minimum reform ya Katiba na sheria ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi mkuu,2025
LAKINI hapo kwa Zitto kupata 11% sidhani..kwa wapiga kura hawa wa Znz + Kigoma + Tunduru (kidogo)
 
Mtoa mada angesema Lissu atashinda urais, wadau wote wangekubaliana na huu uzi πŸ˜‚
 
UZI HUU uongezewe ULINZI

Kwa Hisani ya Watu wa JF
 
Ujinga huu nani atahangaika kwenda kupiga kura bila tume huru?

Labda mpigie mjitangaze kama 2020

Lakini mjue watu wengi
Hatuwakubali
 
Acha ujinga wewe!
 
Hii sisiemu unaijua au unaisikia? Hasako tayari kushindwa kwa namna yoyote ile linapokuja suala la uchaguzi afe kipa afe beki wanataka kuchukua kila kitu mana ndio salama pekee kulinda madhambi yao vinginevyo 90% wanaenda kuoza jela tena bila kuonewa kwa makosa genuine kabisa hivyo hawatakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…