Mtoe Spain hapo hana maajabuMataifa matatu nayapigia utapu
Spain
Brazil
England
1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata.
NB: Siyo mara zote.
Nadhani bingwa umemuona jana saa 4 usiku, mabishoo halafu wanaujua yani wanakufunga,boli linatembea, vyenga plus mautundu ya sokaHabari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani;
1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata.
NB: Siyo mara zote.
2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe kuanzia 2006 mpaka 2018 utagundua ni Uingereza pekee ndiyo hajachukua kikombe hiki katika zile ligi tano kubwa za Ulaya.
-Italia
-Hispania
-Ujerumani
-Ufaransa
-?
Naiona Uingereza?
NB: Ni utabiri tu kwa jinsi nionavyo mimi.
Sahihi kabisa! Brazil ndiye Bingwa mtarajiwa.Wakati huu jezi za njano ndizo zinazotawal
England kama watachukua kombe ni kwasababu wanatimu na Kocha wanaye. Kwasasa Mashabiki wa England wanatizama mpira bila presha.England wanaweza kucheza fainali na Ufaransa.
Timu ina magwaya ishinde kombe la dunia kweli🤣🤣🤣🤣🤣Unaota ukiwa wapi?