UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

Ureno ndio bingwa, achana na hiyo Taifa Star ya Ulaya.
Labda Ronaldo aumie ila akiendelea kupewa nafasi hata robo portugal haitobooi. Halafu Ukiacha kukariri uingereza iko vizuri labda Maguire tu.
 
Hata kama umeweka NB, hesabu zako zinakataa pakubwa sana.

NOTE: Kwenye mabano ni runner up wa EURO.

Spain pekee ndio imefanya hivi mara 1.

2008(Euro winner), then 2010(WC winner).

Pia France imefanya hivi mara 1.

2016(Euro runner up), then 2018(WC winner).

Japo unampigia chapuo England(Runner up wa Euro 2020), mimi nasema tusubiri kama atatusua group stage(proba ni 99%), then knock out stage ndipo tutaanza kuhitimishaView attachment 2427112
Niandike jina langu basi kwa mwandiko wa kuremba, niweke avatar
 
Wana wachezaji wa kawaida tu England isipokuwa mikelele yao na promo tu,,,,,!!!
Usikariri, kwasasa England wana timu nzuri,wachezaji Wazuri na mwalimu mzuri.Kelelezao zinaendana na uwezo wa timu Yao.
 
Back
Top Bottom