UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

Marekani wamecheza mpira wa kiwango cha juu sana hadi kuweza kutoka sare na England.

Iran wana kazi kubwa sana mbele ya Marekani ila England sidhani kama anaweza kushindwa hata kupata droo kwa wenzao wa Wales ili kufuzu raundi ya 16.
 
England ni kama Simba tu.. mashabiki wao Wana kelele nyingi sana utazani ni Bonge Moja la timu ila uwanjani Sasa uwezo wao ni mdogo sana, yaani ni butua butua tu
 
Back
Top Bottom