UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

Ureno ndio bingwa, achana na hiyo Taifa Star ya Ulaya.
Labda Ronaldo aumie ila akiendelea kupewa nafasi hata robo portugal haitobooi. Halafu Ukiacha kukariri uingereza iko vizuri labda Maguire tu.
 
Niandike jina langu basi kwa mwandiko wa kuremba, niweke avatar
 
Huo mwandiko sio wangu[emoji3][emoji3][emoji3]

Mimi mwenyewe nimeandikiwa
Ni wako… kuna UEFA flani nilikuona pia umeandika andika mchambuko wa match
 
America anampelekea pumzi ya moto hapa england
 
Wana wachezaji wa kawaida tu England isipokuwa mikelele yao na promo tu,,,,,!!!
Usikariri, kwasasa England wana timu nzuri,wachezaji Wazuri na mwalimu mzuri.Kelelezao zinaendana na uwezo wa timu Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…