Utabiri: USM Alger 3-0 Yanga, Fainali ya CAFCC Juni 3, 2023

Utabiri: USM Alger 3-0 Yanga, Fainali ya CAFCC Juni 3, 2023

Jana nilimuona Baka Analia anaonyesha 4-0.

NAHISI ubao utasoma 4
 
Watu wanapiga ramli chonganishi, najua ni utani tu na kila mtanzania ndani ya nafsi yake anatamani Yanga ishinde. Tubakishe maneno kesho siyo mbali tuwaache wachezaji wapiganiye heshima yao uwanjani. It's do or die.
 
Back
Top Bottom