Utabiri: Utekaji utapungua kwa hadi 80% kwa kipindi cha miezi minne ijayo Mid September to Mid December

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,912
Reaction score
46,240
Huu ni utabiri wa kweli kama nilivyo oneshwa na mizimu ya kwetu.
Iko hivi kwa kipindi cha kuanzia week ya pili ya Sept 2026 hadi week ya pili ya Dec 2026 hali utekaji wa wananchi itapungua kwa kiwango kikubwa sana.

Inatarajiaa hali ya utulivu itaripotiwa maeneo mengi ya nchi.

Hata hivyo wananchi waendelee kuchukua tahadhari na kujiepusha na maeneo ambayo ni hatari kwao hasa wale wakosoa Serikali
 
ok.🐒
 
Kwahy wametosheka na kunyonya damu za watu?
 
Utekaji hauwezi kuisha Tanzania hadi siku mtoto pendwa wake naye akitekwa

Kwanza mjiandae wote walioshangilia msiba wa Taifa, kusombwa mmoja mmoja keshokutwa 🤪
 
Back
Top Bottom