Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Elewa tu watu(watalaamu) wanakaa na ku-sutdy models(weather foresting models) na kufanya analysis kabla ya kutoa utabiri na sio mchezo mchezo kama mnavyofikiri..Safari hii wamepiga ramli
Tanga Arusha ni mvua balaaHivi ukiachana na dar kuna sehemu nyingine mvua zinapiga 12 hrs a day
Kwa kuongezea tu.zamani kidogo, data za hali ya hewa zilikua zinatumia netwek za serikali tu.na zinachukua muda kusoma ukweli kutoka katika eneo husika.lakin kwasasa data zao zimeunganishwa moja kwa moja kupitia na mitandao ya simu.Iko hivi, TMA wanasadiwa na EU kupitia The European Organisation for the Exploitation of Meteorological Sayellites (EUMTSAT)
Hao jamaa wana-monitor hali ya hewa hapa Tanzania na nchi nyingine za Afrika kupitia hiyo satellite niliyotaja hapo juu
EUMTSAT wao ni service provider wa TMA
Ikumbukwe awali TMA walikuwa wanatumia mfumo wa zamani ambao haukuwa sahihi sana (2nd Generation Satellite)
Mfumo mpya wa satellite ya EUMTSAT ni wa kisasa (3rd Generation Satellite) umeanza kutumika mwaka huu na matokeo yake ndio haya tunayoyaona
Tulia wewe unataka tupate hasara vitunguu viozee ardhiniMbeya huku vipi aisee, mbona mvua hamna kabisa.
Especially, hii wilaya ya mbarali, yani ni joto balaa, nyie mnaolima vitunguu pande za igawa hapa acheni uchawi.
Si mlipuuza? Ngoja muogelee kwenye vinyesi vyenu huko DarSipendi sana kutumia huo msemo, ila kwakuwa ndio uko kwenye chati, wacha niutumie kuwapongeza Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini kwa kutoa utabiri wenye viwango.
Wote ni mashuhuda wa utabiri wa mvua za mafuriko kutoka TMA japo wako watu waliobeza ila muda umethibitisha.
Waliochukua tahadhari watakuwa wameepuka mengi ikiwemo usalama wao na wa mali zao na waliopuuza bila shaka itakuwa imekula kwao.
Endeleeni kufuatilia utabiri kutoka TMA.
Hongereni sana TMA
NB: Weather Forecasting is a science and not otherwise.
Tena Zaidi ya DarHivi ukiachana na dar kuna sehemu nyingine mvua zinapiga 12 hrs a day
Hii wilaya ya mbarali, niliamua kuikacha aisee, siyo kwa joto hilo aisee na bado mvua hamna lol!Tulia wewe unataka tupate hasara vitunguu viozee ardhini
Mvua isubiri tuvune ndio ianze