Utabiri wa Hali ya Hewa: TMA ipewe maua yake

Utabiri wa Hali ya Hewa: TMA ipewe maua yake

Watu wa dar wana midomo mirefu km chuchunge si wanawake wala wanaume kila kitu wao ni malalamiko tuuuu,, walipewa tahadhari wakabeza acha wakome
 
Utabiri wa hali ya hewa ni mojawapo ya michakato inayohitaji software na computer hardware very advanced mfano mainframe computers. Huwa watu wanachukulia poa ila ni gharama sana.
 
Muda siyo muda kazi hiyo itakuwa ya 'Artificial Intelligence' (AI). Hakuna sababu ya akili ya binaadamu kujihangaisha tena na maswala ya aina hiyo.
You are absolutely right... machine learning algorithms fit very well into this problem
 
Hii kitu imepiga usiku kucha haikutosheka, bado imepiga kutwa nzima na inaendelea kupiga🙆🙆🙆
Hayo ni machozi ya mnyama baada ya kupigwa 5G ambayo TMA ilitabiri na kuyaita Elinino!
 
Hahaha just imagine mpaka sasa hata manyunyu tu hamna, na si ajabu mpaka utaingia wa 12 hata tone tu la mvua hamna.

Hii si kawaida kabisa, waache ushirikina aiseee.
Hahah walima vitunguu hawataki viozee shamban
 
Mbeya huku vipi aisee, mbona mvua hamna kabisa.

Especially, hii wilaya ya mbarali, yani ni joto balaa, nyie mnaolima vitunguu pande za igawa hapa acheni uchawi.
Inafika leo...iko hapa Makambako..
 
Kwa kuongezea tu.zamani kidogo, data za hali ya hewa zilikua zinatumia netwek za serikali tu.na zinachukua muda kusoma ukweli kutoka katika eneo husika.lakin kwasasa data zao zimeunganishwa moja kwa moja kupitia na mitandao ya simu.
Yaani kwenye kila netwek ya simu na data za hali ya hewa zinasoma ndani ya dakika 5, na baada ya nusu saa zinasoma kidunia.
Nakubaliana na wewe maana kwenye laptop yangu napata weather updates kutoka microsoft kwenye eneo nilipo nikiunga tu kwenye mtandao.
 
Maendeleo hayana chama kwa kweli. Sisi chauma tuna penda kuwapatia maua yao TMA. Ongera mama samia, ongera chama cha mapinduzi. Kazi iendelee
Hapana.
Wewe sio msemaji rasmi wa Chauma, sera yetu sisi Chauma sio kupongezana bali kuhimiza uwajibikaji.

Mamlaka ya hali ya hewa, walipaswa kutuambia haya;
-Mvua zitanyesha lini, saa ngapi, kiasi gani kwa kila eneo, sio kutuambia El nino itakuja mwishoni mwa September, mwanzoni na katikati ya Oktoba, halafu haikunyesha badala yake imekuja kunyesha mvua kubwa (bado haijafikia kiwango cha Elnino) mwanzani mwa November.
 
Sawa sawa mtu wa CHAUMA nimekupata vzr kweli kweli
 
Back
Top Bottom