Utabiri wa Hali ya Hewa: TMA ipewe maua yake

Hii kitu imepiga usiku kucha haikutosheka, bado imepiga kutwa nzima na inaendelea kupiga[emoji134][emoji134][emoji134]
Aisee.. Huku chanika ardhi imetepeta kama uji
 
Meteorological Satellite, is tool for weather observation from space and is not a tool for weather foresting ingawa data za satellite zinasaidia kukupa picha zinazoweza kukusaidi kufanya utabiri.

Forecasting hufanywa kwa kutumia special forecasting models na kazi hiyo hufanywa na wataalamu( Meteorogists).
 
Meteorological Satellite, kama ilivyo radar, is tool for weather observation and not weather foresting. Foresting hufanywa kwa kutumia special forecasting models na kazi hiyo hufanywa na wataalamu( meteorogust) ambao TMA wapo wa kutosha.
Mkuu soma hii uongeze maarifa bado uko nyuma

 
Elewa tu watu(watalaamu) wanakaa na ku-sutdy models(weather foresting models) na kufanya analysis kabla ya kutoa utabiri na sio mchezo mchezo kama mnavyofikiri..
Mganga wenu awamu hii ya sita fundi haswa.
 
Maendeleo hayana chama kwa kweli. Sisi chauma tuna penda kuwapatia maua yao TMA. Ongera mama samia, ongera chama cha mapinduzi. Kazi iendelee
 
Wala usijali hiyo mvua inakuja huko soon. Hilo joto ndio dalili yake, itanyesha Hadi mshangae. Huku Dar tumeshanyooka, maana sio kwa unyeshaji huu.
Ila hii wilaya ya mbarali japo siyo sehemu zote, lakini haina historia nzuri kabisa ya mvua, sometime mpaka wa 12 unaingia mvua hakuna.

Wanao lima vitunguu ndo wachawi wenyewe.
 
Maendeleo hayana chama kwa kweli. Sisi chauma tuna penda kuwapatia maua yao TMA. Ongera mama samia, ongera chama cha mapinduzi. Kazi iendelee
Nikiri tu serikali inajitahidi kuiwezesha TMA kwani bila wataalamu na vifaa vya kisasa, TMA isingekuwa hapa ilipo leo hii.
 
Elewa tu watu(watalaamu) wanakaa na ku-sutdy models(weather foresting models) na kufanya analysis kabla ya kutoa utabiri na sio mchezo mchezo kama mnavyofikiri..
Muda siyo muda kazi hiyo itakuwa ya 'Artificial Intelligence' (AI). Hakuna sababu ya akili ya binaadamu kujihangaisha tena na maswala ya aina hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…