Utabiri wa hali ya ndoa

Utabiri wa hali ya ndoa

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wanaume watakuwa wakali kipindi cha January mpaka mwanzoni mwa february na kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma kutakuwa na vipindi virefu vya hasira na kusonya [emoji126][emoji126][emoji126]

Aidha ukanda wa ```Michepuko``` hali haitakuwa shwari kwa sababu PESA hazitavuma kutoka mifukoni mwa wanaume. Kiwango cha juu cha ```usaliti``` kitapungua na kufikia 0. 75% wakati chuki ndani ya ndoa ikiongezeka kufuatia uhaba wa pesa.

[emoji174] Utabiri huu wa hali ya ndoa umeletwa kwenu na ```Mamlaka ya hali ya Ndoa nchini```
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Wanaume watakuwa wanafika nyumbani saa 10 jioni badala ya usiku wa manane.
Blacklist zitaongezeka kwenye simu za michepuko.
Ongezeko la mama vijacho kwakuwa baba na mama wanalala mapema.
 
Back
Top Bottom