Utabiri wa Lema na Lissu kwa wana CCM watimia

Utabiri wa Lema na Lissu kwa wana CCM watimia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
IMG-20200223-WA0046.jpeg

"Polis akikuomba rushwa mng'anye silaha mkamate mpeleke takukuru " ninja lugora
 
"Atutaogopa sharubu hata kama za beberu tutamshughulikia tu"
 
"Nampenda Raid wangu Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli..!"

"Mabasi yatasafiri usiku..''

" Boda boda wasibughudhiwe na mishikaki ni rukhusa..''

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Aliyeingia hapa baada ya mimi kufika hapa atoke njee"

"..Kama umekuja na ilani nyoosha mkono nayo juu hata kama wewe huna we nyooosha kuonyesha kwamba huna..Hebu tuanze na jeshi la polisi hapo...."

-all is well-
 
Pride comes before a fall.
Wahenga hawakusema kwa kujifurahisha. Walisha ona mengi
 
Mtu kama Lugola sijui wanamlea kwanini wakati alitakiwa aonyeshwe mfano na wale aliokuwa ana wadhalilisha wakati alipokuwa madarakani.
 
Yaani, wengine ndugu zao wamewekwa ndani kwa makosa ambayo uchunguzi haujakamilika kwa sehemu kubwa, ilihali wale uliokamilika kwa asilimia 99 wako nje wanadunda!
Misingi ya usawa katika haki iko wapi hapa Tanzania?
Ee, Mwenyezi Mungu tusaidie sisi waja wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom