Utabiri wa leo: Simba 0-2 Coastal Union

Utabiri wa leo: Simba 0-2 Coastal Union

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari Wana jf

Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake).

Ni mdudu (buu) in English (pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa Kwa usdai mzuri.

Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.

1692003387727.jpg
 
Habari Wana jf

Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake)

Ni mdudu ( buu) in English ( pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa Kwa usdai mzuri

Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2_ 0 Kwa coastal

View attachment 2757114
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Ma MIPIRA haya yanatufanya Tuonekane MATAHIRA kabisa.

Kweli NIMEAMINI Kila kitu KINATAKA KIASI.
 
Mkuu umewaanzishia Makolo kijiwe cha kuja kukusakama. 😂😂

Wake kwa waume watakuja wakurarue.
 
Ma MIPIRA haya yanatufanya Tuonekane MATAHIRA kabisa.

Kweli NIMEAMINI Kila kitu KINATAKA KIASI.
Mpira starehe tu don't take it very serious kiasi kitake uanze kututusi wapenda mpira
 
Simba 1
Costal 0
Simba wakipigwa itapendeza ila sioni wakifungwa kwenye ramli zangu chonganishi..
Natania tu
 
Habari Wana jf

Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake).

Ni mdudu (buu) in English (pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa Kwa usdai mzuri.

Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.

View attachment 2757114
Utabiri wenye chembe chembe za Utopolo fc.
 
Habari Wana jf

Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake).

Ni mdudu (buu) in English (pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa Kwa usdai mzuri.

Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.

View attachment 2757114
Coastal wameshauza mechi huko kama kawaida yao. Mabeki wanacheza nyolo nyolo tu ili wafungwe magoli mengi, na hivyo wazee wa papatu papatu waonoze ligi.

Kumbuka Coastal Union ni simba B
 
Aahaaaaaa
 
Simba anataka kutongoza Ligi Leo,ni lazima apate goli 7 Ili aongoze ligi
 
Habari Wana jf

Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake).

Ni mdudu (buu) in English (pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa Kwa usdai mzuri.

Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.

View attachment 2757114
Duuuu...ungekua nabii waumini wangekukimbia..
 
Matako kweli wewe aisee,yaan huwazi lolote zaidi ya chuki binafsi dhidi ya simba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mkuu umewaanzishia Makolo kijiwe cha kuja kukusakama. [emoji23][emoji23]

Wake kwa waume watakuja wakurarue.
Huo ndio ushindi coastal ilibidi waupate .....sema bahasha imegeuza[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom