Utabiri wa leo: Simba 0-2 Coastal Union

Utabiri wa leo: Simba 0-2 Coastal Union

Umeambiwa Nina shida na Pesa???????

NYIE WAPUMBAFU.

Fedha ikutafute wewe sio wewe uitafute.

Fedha Ikufuate wewe.
KAA KWENYE MKONDO WA FEDHA UONE ZINAVYO KUFUATA.

MAJI HUFUATAMKONDO WAKE.
Nipe mbinu mkuu
 
Nimeamini kweli huko hamna akili..yani ww akili zako ndo hakuna kabsaaa....
 
Habari Wana jf

Leo nmefaikiwa kufanya utabiri Kwa kumtumia mdudu Kwa kinyakyusa anaitwa (sonda kipake).

Ni mdudu (buu) in English (pupa) anajifungia kwenye vijiti vidogo vidogo vilivyotengenezwa Kwa usdai mzuri.

Pupa kanitabiria kuwa makolo wanakufa 2-0 Kwa coastal.

View attachment 2757114
Mzee eti na leo utatoa tena?
 
Labani Hivi Huwa HUONI AIBU kuandika Nyuzi za HOVYO kiasi hicho???????

Then kwa Upuuzi kama Huu utegemee Fedha zikufuate Kweli????????

UTAENDELEA KUSOTA.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom