Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

Mshamba huyo baada ya kutinga fainali kule confederation/losers amepatwa na kiburi na jeuri sio ya nchi hii na wala hataki kujifunza kutoka kwa mjanja wa michuano hiyo zaidi ya kumkejeli tu.
Kinachogombaniwa sio robo, bali ni kombe.
Huyo paka shume hajawahi kufika hata nusu, kwahiyo sio wa kuigwa.
 
Kinachogombaniwa sio robo, bali ni kombe.
Huyo paka shume hajawahi kufika hata nusu, kwahiyo sio wa kuigwa.
Mshamba huyo anapaswa akandwe nyingi mno mechi mbili tatu, zitakazobaki akandwe chache chache ili ajifunze na pia kelele zipungue mjini hapa, na ndivyo itakavyokuwa.
 
Kule hakuna akina ihefu fc, yani kule yanga ndiyo ihefu fc sasa 😆 ngoja wakajionee wenyewe.
 
Naona ibaki hivi hivi:

𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐀:

• Mamelodi Sundowns 🇿🇦
• CR Belouizdad 🇩🇿
• Al Hilal 🇸🇩
• Medeama 🇬🇭

𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁:

• Wydad AC 🇲🇦
• Simba SC 🇹🇿
• ASEC Mimosas 🇨🇮
• Jwaneng Galaxy 🇧🇼

𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂:

• Al Ahly 🇪🇬
• Petro de Luanda 🇦🇴
• Yanga SC 🇹🇿
• FC Nouadhibou 🇲🇷

𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃:

• ES Tunis 🇹🇳
• Pyramids FC 🇪🇬
• TP Mazembe 🇨🇩
• Etoile du Sahel 🇹🇳

Au nyie wadau mnasemaje!?
Ikitokea simba akapangwa na hizo timu, basi ajiandae kushika mkia.
 
Back
Top Bottom