Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

Mshamba huyo baada ya kutinga fainali kule confederation/losers amepatwa na kiburi na jeuri sio ya nchi hii na wala hataki kujifunza kutoka kwa mjanja wa michuano hiyo zaidi ya kumkejeli tu.
Kinachogombaniwa sio robo, bali ni kombe.
Huyo paka shume hajawahi kufika hata nusu, kwahiyo sio wa kuigwa.
 
Kinachogombaniwa sio robo, bali ni kombe.
Huyo paka shume hajawahi kufika hata nusu, kwahiyo sio wa kuigwa.
Mshamba huyo anapaswa akandwe nyingi mno mechi mbili tatu, zitakazobaki akandwe chache chache ili ajifunze na pia kelele zipungue mjini hapa, na ndivyo itakavyokuwa.
 
Kule hakuna akina ihefu fc, yani kule yanga ndiyo ihefu fc sasa ๐Ÿ˜† ngoja wakajionee wenyewe.
 
Vyovyote itakavyokuwa ila huyo mgeni na mshamba wa michuano hiyo kutoka Tanzania atapigwa kama ngoma.
Tena atakuwa wa mwisho katika kundi lao nae mnyama akiongoza kundi lake
 
Ikitokea simba akapangwa na hizo timu, basi ajiandae kushika mkia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ