RASHIDI OMARY
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 524
- 498
Sahihi kabisaSimba atashinda 2 kwa 1 ila yanga atafungwa goli 2 bila..
Sahihi kabisaSimba atashinda na Yanga atafungwa reserve my comment.
sahihi kulingana na uelewa wakoSahihi kabisa
sahihi kulingana na uelewa wako
Simba atashinda 2 kwa 1 ila yanga atafungwa goli 2 bila..
Kwan umekatazwa kutoa mtazamo wako?sahihi kulingana na uelewa wako
Kumbuka maneno ya Manara kuihusu YangaKwan umekatazwa kutoa mtazamo wako?
Hamkui akili?
Kwani wale wawili Wenye akili hawajaongezeka wengine mpaka leo.Kumbuka maneno ya Manara kuihusu Yanga
Nani sasa aongezeke labda wapungueKwani wale wawili Wenye akili hawajaongezeka wengine mpaka leo.
Bwana MSHUZA2Simba atashinda 2 kwa 1 ila yanga atafungwa goli 2 bila..
Kweli kabisa pale Msimbazi tumejaa tele Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume/Madunduka FC, kweli kujizima data ni kipaji [emoji1787]Nani sasa aongezeke labda wapungue