Utabiri wa mechi za Simba na Yanga wiki hii

Utabiri wa mechi za Simba na Yanga wiki hii

sahihi kulingana na uelewa wako
c757965d4b8c32c0248c14541fec33db.jpg
 
namuona mnyama akipigwa tena majamaa yana mpira wa kasi sana ikumbukwe kesho kibu hachezi ila Mungu ibariki timu yangu simba
 
Nani sasa aongezeke labda wapungue
Kweli kabisa pale Msimbazi tumejaa tele Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume/Madunduka FC, kweli kujizima data ni kipaji [emoji1787]
 
Simba: atashinda bao mbili kwa nunge bao la pili watapa jioni kabisa japo mchezo utakuwa mgumu.
Yanga: tofauti na matarajio ya wengi mchezo huu utakuwa mgumu kwa Yanga na wakimbinu zaidi kwa wapinzani wageni watatangulia huku Yanga akichomoa wajikute muda siyo rafiki tena,sare ya magoli.
 
Back
Top Bottom