Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.
Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa.
Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo.
Kwa kuhitimisha, kuna timu inakufa goli 1-0 au 2-0.
NB:
Manula atakuwa golini kama kawaida yake.