Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Huyu ndie mganga wa Simba na fake Id!Umepatia kiaina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndie mganga wa Simba na fake Id!Umepatia kiaina
Simba imeroga kama Yanga alivyomroga US Monastir lile Bonge la Mvua Mwarabu akawa anaogelea kwneye matopeUtabiri unaweza kutimia! Leo Simba wameroga si mchezo! Mvua kutwa nzima hadi kunyeshea wachezaji!
Benki imevunjwa!
Mudathir kwanini hakuanza kama nilivyocomment uzi flani?
Tusubiri Wydad!
Kauli ya Ahmed Ally kukafini maiti imeeleweka Sasa maana Simba ingefungwa angehamia Burundi ila hakuongea kwa hofu Bali alikuwa na uhakika na uwekezaji kamati ya mvua na tayari alioneshwa Kuna Nini kitatokea! Sasa wale waliofunga Ramadhani na uchawi wameshiriki sijui maana yake Nini!Simba imeroga kama Yanga alivyomroga US Monastir lile Bonge la Mvua Mwarabu akawa anaogelea kwneye matope
Huu wivu sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kauli ya Ahmed Ally kukafini maiti imeeleweka Sasa maana Simba ingefungwa angehamia Burundi ila hakuongea kwa hofu Bali alikuwa na uhakika na uwekezaji kamati ya mvua na tayari alioneshwa Kuna Nini kitatokea! Sasa wale waliofunga Ramadhani na uchawi wameshiriki sijui maana yake Nini!
Huu haukuwa uchawi wa nchi hii , lazima Kuna wachawi mamluki wameletwa Toka Nigeria, mvua kama ugomvi kutwa nzima hadi uwanjani imo tu na baada ya Simba kufunga mvua ikaisha usiku no mvua Tena! Mayele mipira yote inamgonga tu mingine anaacha nyuma, mara anaanza ugomvi na si Tabia yake, pasi za Aucho kwa Lomalisa mpira yote inaenda nje! Aziz Ki Huwa habahatishi Faulo Jana mipira wanablock kivipi? Morisson hakuonesha chochote si kawaida! Siku ingine kocha awapange kina Mzize hawarogwi! Maana Jana Simba iliroga Mayele na Bangala zaidi hawakuwa mchezoni kabisa!
Goli la kichawi na lisilo halali dakika ya kwanza Simba imeanzisha Kona wakati refa anaongea na wachezaji na hakuwa anaangalia kwenye kibendera Cha Kona. Refa alikuwa kageuka anatoa maelekezo na Kisheria refa anapaswa kuona Kila tukio uwanjani. Pale refa alipaswa kuwaambia Simba warudie kupiga Kona maana hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la ila kwakuwa uchawi ulikuwa mzito refa akapeta na mkafunga. Magoli ya kichawi Huwa sio ya kawaida kama goal la kwanza Simba lililowatoa Yanga mchezoni na kuharibu mechi. Simba Haina uwezo kuifunga Yanga bila kitu Cha ajabu kama Jana refa anaongea na wachezaji anaangalia upande mwingine wao wanaanzisha Kona it wasn't football Bali uhuni tu! Mzamiru alijua uhuni waliofanya na alipewa kazi kuhakikisha Yanga hawaanzishi Faulo bila wao kujipanga.
Hongereni sana Simba ushindi wenu huu wa mchongo mliousahau Toka 2019 hamjatufunga ligi kuu na rafu za kutisha mlizocheza Jana ndicho kitu pekee Cha kushangilia Simba imevuna mwaka huu maana kombe limebaki Jangwani na Wydad safari ya tatu mzuka imewadia! Ni kipigo Cha tatu tatu tu ndani nje!
Kwa Manula ndio kidogo umepotea kwingine umepatia..! HongeraKwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.
Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa.
Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo.
Kwa kuhitimisha, kuna timu inakufa goli 1-0 au 2-0.
NB:
Manula atakuwa golini kama kawaida yake.
Goli la kichawi na lisilo halali dakika ya kwanza[emoji23]Kauli ya Ahmed Ally kukafini maiti imeeleweka Sasa maana Simba ingefungwa angehamia Burundi ila hakuongea kwa hofu Bali alikuwa na uhakika na uwekezaji kamati ya mvua na tayari alioneshwa Kuna Nini kitatokea! Sasa wale waliofunga Ramadhani na uchawi wameshiriki sijui maana yake Nini!
Huu haukuwa uchawi wa nchi hii , lazima Kuna wachawi mamluki wameletwa Toka Nigeria, mvua kama ugomvi kutwa nzima hadi uwanjani imo tu na baada ya Simba kufunga mvua ikaisha usiku no mvua Tena! Mayele mipira yote inamgonga tu mingine anaacha nyuma, mara anaanza ugomvi na si Tabia yake, pasi za Aucho kwa Lomalisa mpira yote inaenda nje! Aziz Ki Huwa habahatishi Faulo Jana mipira wanablock kivipi? Morisson hakuonesha chochote si kawaida! Siku ingine kocha awapange kina Mzize hawarogwi! Maana Jana Simba iliroga Mayele na Bangala zaidi hawakuwa mchezoni kabisa!
Goli la kichawi na lisilo halali dakika ya kwanza Simba imeanzisha Kona wakati refa anaongea na wachezaji na hakuwa anaangalia kwenye kibendera Cha Kona. Refa alikuwa kageuka anatoa maelekezo na Kisheria refa anapaswa kuona Kila tukio uwanjani. Pale refa alipaswa kuwaambia Simba warudie kupiga Kona maana hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la ila kwakuwa uchawi ulikuwa mzito refa akapeta na mkafunga. Magoli ya kichawi Huwa sio ya kawaida kama goal la kwanza Simba lililowatoa Yanga mchezoni na kuharibu mechi. Simba Haina uwezo kuifunga Yanga bila kitu Cha ajabu kama Jana refa anaongea na wachezaji anaangalia upande mwingine wao wanaanzisha Kona it wasn't football Bali uhuni tu! Mzamiru alijua uhuni waliofanya na alipewa kazi kuhakikisha Yanga hawaanzishi Faulo bila wao kujipanga.
Hongereni sana Simba ushindi wenu huu wa mchongo mliousahau Toka 2019 hamjatufunga ligi kuu na rafu za kutisha mlizocheza Jana ndicho kitu pekee Cha kushangilia Simba imevuna mwaka huu maana kombe limebaki Jangwani na Wydad safari ya tatu mzuka imewadia! Ni kipigo Cha tatu tatu tu ndani nje!
Hiyo mvua ilikua inawanyeshea yanga tu?Utabiri unaweza kutimia! Leo Simba wameroga si mchezo! Mvua kutwa nzima hadi kunyeshea wachezaji!
Benki imevunjwa!
Mudathir kwanini hakuanza kama nilivyocomment uzi flani?
Tusubiri Wydad!
Ile kona ilipigwa mara ya kwanza refa akasema warudie waliporudia ndio goli sasaKauli ya Ahmed Ally kukafini maiti imeeleweka Sasa maana Simba ingefungwa angehamia Burundi ila hakuongea kwa hofu Bali alikuwa na uhakika na uwekezaji kamati ya mvua na tayari alioneshwa Kuna Nini kitatokea! Sasa wale waliofunga Ramadhani na uchawi wameshiriki sijui maana yake Nini!
Huu haukuwa uchawi wa nchi hii , lazima Kuna wachawi mamluki wameletwa Toka Nigeria, mvua kama ugomvi kutwa nzima hadi uwanjani imo tu na baada ya Simba kufunga mvua ikaisha usiku no mvua Tena! Mayele mipira yote inamgonga tu mingine anaacha nyuma, mara anaanza ugomvi na si Tabia yake, pasi za Aucho kwa Lomalisa mpira yote inaenda nje! Aziz Ki Huwa habahatishi Faulo Jana mipira wanablock kivipi? Morisson hakuonesha chochote si kawaida! Siku ingine kocha awapange kina Mzize hawarogwi! Maana Jana Simba iliroga Mayele na Bangala zaidi hawakuwa mchezoni kabisa!
Goli la kichawi na lisilo halali dakika ya kwanza Simba imeanzisha Kona wakati refa anaongea na wachezaji na hakuwa anaangalia kwenye kibendera Cha Kona. Refa alikuwa kageuka anatoa maelekezo na Kisheria refa anapaswa kuona Kila tukio uwanjani. Pale refa alipaswa kuwaambia Simba warudie kupiga Kona maana hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la ila kwakuwa uchawi ulikuwa mzito refa akapeta na mkafunga. Magoli ya kichawi Huwa sio ya kawaida kama goal la kwanza Simba lililowatoa Yanga mchezoni na kuharibu mechi. Simba Haina uwezo kuifunga Yanga bila kitu Cha ajabu kama Jana refa anaongea na wachezaji anaangalia upande mwingine wao wanaanzisha Kona it wasn't football Bali uhuni tu! Mzamiru alijua uhuni waliofanya na alipewa kazi kuhakikisha Yanga hawaanzishi Faulo bila wao kujipanga.
Hongereni sana Simba ushindi wenu huu wa mchongo mliousahau Toka 2019 hamjatufunga ligi kuu na rafu za kutisha mlizocheza Jana ndicho kitu pekee Cha kushangilia Simba imevuna mwaka huu maana kombe limebaki Jangwani na Wydad safari ya tatu mzuka imewadia! Ni kipigo Cha tatu tatu tu ndani nje!
Naona povu limekutoka 😆😆😆Kauli ya Ahmed Ally kukafini maiti imeeleweka Sasa maana Simba ingefungwa angehamia Burundi ila hakuongea kwa hofu Bali alikuwa na uhakika na uwekezaji kamati ya mvua na tayari alioneshwa Kuna Nini kitatokea! Sasa wale waliofunga Ramadhani na uchawi wameshiriki sijui maana yake Nini!
Huu haukuwa uchawi wa nchi hii , lazima Kuna wachawi mamluki wameletwa Toka Nigeria, mvua kama ugomvi kutwa nzima hadi uwanjani imo tu na baada ya Simba kufunga mvua ikaisha usiku no mvua Tena! Mayele mipira yote inamgonga tu mingine anaacha nyuma, mara anaanza ugomvi na si Tabia yake, pasi za Aucho kwa Lomalisa mpira yote inaenda nje! Aziz Ki Huwa habahatishi Faulo Jana mipira wanablock kivipi? Morisson hakuonesha chochote si kawaida! Siku ingine kocha awapange kina Mzize hawarogwi! Maana Jana Simba iliroga Mayele na Bangala zaidi hawakuwa mchezoni kabisa!
Goli la kichawi na lisilo halali dakika ya kwanza Simba imeanzisha Kona wakati refa anaongea na wachezaji na hakuwa anaangalia kwenye kibendera Cha Kona. Refa alikuwa kageuka anatoa maelekezo na Kisheria refa anapaswa kuona Kila tukio uwanjani. Pale refa alipaswa kuwaambia Simba warudie kupiga Kona maana hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la ila kwakuwa uchawi ulikuwa mzito refa akapeta na mkafunga. Magoli ya kichawi Huwa sio ya kawaida kama goal la kwanza Simba lililowatoa Yanga mchezoni na kuharibu mechi. Simba Haina uwezo kuifunga Yanga bila kitu Cha ajabu kama Jana refa anaongea na wachezaji anaangalia upande mwingine wao wanaanzisha Kona it wasn't football Bali uhuni tu! Mzamiru alijua uhuni waliofanya na alipewa kazi kuhakikisha Yanga hawaanzishi Faulo bila wao kujipanga.
Hongereni sana Simba ushindi wenu huu wa mchongo mliousahau Toka 2019 hamjatufunga ligi kuu na rafu za kutisha mlizocheza Jana ndicho kitu pekee Cha kushangilia Simba imevuna mwaka huu maana kombe limebaki Jangwani na Wydad safari ya tatu mzuka imewadia! Ni kipigo Cha tatu tatu tu ndani nje!
RamliKwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.
Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa.
Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo.
Kwa kuhitimisha, kuna timu inakufa goli 1-0 au 2-0.
NB:
Manula atakuwa golini kama kawaida yake.
Maneno meeengiiiiiii, nyie mmepigwa uwezo mdogo, mzamiru amewakalisha acha kujificha kwenye uchawi. Ndo ujue sasa hamna timu pale, kama uchawi ungekuwa dili simba asingefungwa 3 na raja kwa mkapa, kwa kifupi simba ni maji marefu sana kwenu.Kauli ya Ahmed Ally kukafini maiti imeeleweka Sasa maana Simba ingefungwa angehamia Burundi ila hakuongea kwa hofu Bali alikuwa na uhakika na uwekezaji kamati ya mvua na tayari alioneshwa Kuna Nini kitatokea! Sasa wale waliofunga Ramadhani na uchawi wameshiriki sijui maana yake Nini!
Huu haukuwa uchawi wa nchi hii , lazima Kuna wachawi mamluki wameletwa Toka Nigeria, mvua kama ugomvi kutwa nzima hadi uwanjani imo tu na baada ya Simba kufunga mvua ikaisha usiku no mvua Tena! Mayele mipira yote inamgonga tu mingine anaacha nyuma, mara anaanza ugomvi na si Tabia yake, pasi za Aucho kwa Lomalisa mpira yote inaenda nje! Aziz Ki Huwa habahatishi Faulo Jana mipira wanablock kivipi? Morisson hakuonesha chochote si kawaida! Siku ingine kocha awapange kina Mzize hawarogwi! Maana Jana Simba iliroga Mayele na Bangala zaidi hawakuwa mchezoni kabisa!
Goli la kichawi na lisilo halali dakika ya kwanza Simba imeanzisha Kona wakati refa anaongea na wachezaji na hakuwa anaangalia kwenye kibendera Cha Kona. Refa alikuwa kageuka anatoa maelekezo na Kisheria refa anapaswa kuona Kila tukio uwanjani. Pale refa alipaswa kuwaambia Simba warudie kupiga Kona maana hakuona kama mpira ulianzishwa kweli ndani ya box ya kibendera Cha Kona au la ila kwakuwa uchawi ulikuwa mzito refa akapeta na mkafunga. Magoli ya kichawi Huwa sio ya kawaida kama goal la kwanza Simba lililowatoa Yanga mchezoni na kuharibu mechi. Simba Haina uwezo kuifunga Yanga bila kitu Cha ajabu kama Jana refa anaongea na wachezaji anaangalia upande mwingine wao wanaanzisha Kona it wasn't football Bali uhuni tu! Mzamiru alijua uhuni waliofanya na alipewa kazi kuhakikisha Yanga hawaanzishi Faulo bila wao kujipanga.
Hongereni sana Simba ushindi wenu huu wa mchongo mliousahau Toka 2019 hamjatufunga ligi kuu na rafu za kutisha mlizocheza Jana ndicho kitu pekee Cha kushangilia Simba imevuna mwaka huu maana kombe limebaki Jangwani na Wydad safari ya tatu mzuka imewadia! Ni kipigo Cha tatu tatu tu ndani nje!
LowKauli ya Ahmed Ally kukafini maiti imeeleweka Sasa maana Simba ingefungwa angehamia Burundi ila hakuongea kwa hofu Bali alikuwa na uhakika na uwekezaji kamati ya mvua na tayari alioneshwa Kuna Nini kitatokea! Sasa wale waliofunga Ramadhani na uchawi wameshiriki sijui maana yake Nini!