Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Mchezo WA heshima hui,Kwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.
Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa.
Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo.
Kwa kuhitimisha, kuna timu inakufa goli 1-0 au 2-0.
NB:
Manula atakuwa golini kama kawaida yake.
Yanga inashinda ,na wewe kua Simba,ikitimia mwendo wa kurushiana kvant ,deal?Yakitimia hayo nakurushia k~vant,kinyume chake nawe fanya nawe hivyo.
Ngoja ni_Subscribe kabisaSimba 1 Yanga 0
Mark my Words
Ngoja nivute kabisa kwa mkopo,mhudumu atalipwa after game.Yanga inashinda ,na wewe kua Simba,ikitimia mwendo wa kurushiana kvant ,deal?
Ngoja nivute kabisa kwamkopo,mhudumu atalipwa after game.al
Usije nikimbia tuNgoja nivute kabisa kwa mkopo,mhudumu atalipwa after game.
Twisila Kisinda Khaleed auchoKwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.
Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa.
Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo.
Kwa kuhitimisha, kuna timu inakufa goli 1-0 au 2-0.
NB:
Manula atakuwa golini kama kawaida yake.
Unaruka ruka tuKwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.
Nyota zao haziendani na tarehe ya leo, leo ni siku ya viungo na mabeki kung'aa.
Duru zinasema hapatakuwa na magoli mengi leo kwani magoli yatakuwa mawili au moja tu. Na hapatakuwa droo.
Kwa kuhitimisha, kuna timu inakufa goli 1-0 au 2-0.
NB:
Manula atakuwa golini kama kawaida yake.
Mtani bado una matumaini?Usije nikimbia tu
Mtani bado una matumaini?
Hivi nishamaliza li k~vant langu tena sio dogo ni bapa kubwa jiandae kisaikolojia.
Umepatia kiainaKwa mujibu wa unajimu wa mechi ya leo sio Baleke wala Mayele watakaokuwa katika scoresheet.