Uwezo wao wa kufikiri ndiyo huo. Utabiri wa matokeo ni kitu cha kawaida. Hata wachambuzi wakiwa live kwenye TV huulizana wapi kila moja anaweka shilingi yake.Aiseeeee,kweli Rage hakukosea alipowaita Mambumbumbu. Matusi ya nini sasa jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafanya utabiri mwingi kwa simba na ameproove wrong.Nadhani kwa nafasi aliyonayo kitaifa na ujulikanaji wake naona kama anashindwa kujijengea mahusiano mazuri na waTANZANIA wenzake.[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya nyumbani)
AS Vita (3 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya ugenini)
AS Vita (1 point)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2394]
[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (1 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
Simba SC (1 point)
JS Soura (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2389]
[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (0 points)
AS Vita (1 point)
JS Soura (3 points)
[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
JS Soura (1 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2393]
[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya nyumbani)
Al Ahly (0 points)
AS Vita (0 points)
Simba SC (1 points)
[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya ugenini)
Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
Simba SC (3 points)
Jumla ya Alama baada ya michezo 6 =[emoji2389]
Msimamo Kundi D baada ya Mechi 6 kukamilika
[emoji2389]. Al Ahly (16) [emoji3581]
[emoji2390]. AS Vita Club (11) [emoji3581]
[emoji2391]. Simba SC (5) [emoji3582]
[emoji2392]. JS Soura (1) [emoji3582]
Sent using Jamii Forums mobile app
Simply prove him wrong kwa kupata matokeo.Kafanya utabiri mwingi kwa simba na ameproove wrong.Nadhani kwa nafasi aliyonayo kitaifa na ujulikanaji wake naona kama anashindwa kujijengea mahusiano mazuri na waTANZANIA wenzake.
Namuona Shafii kama mtu mwenye roho mbaya kupita maelezo na nina imani hata kazini alipo wenzake wana tabu sana kwa ajili yake.
Binadamu lazima uwe na kiasi katika kila jambo. Roho hii itamuumbua mwenyewe. MARK MY WORDS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimesema tumepata mbahiri mpya.
Mashabiki wa Simba hawana masihara, wangempasua kweli!umenikumbusha na Sheihk Yahya na yeye nusura apigwe na mashabiki ya Simba, alipotabiri mnyama anakufa, then yanga akafa...
watu wametoka uwanjani hao, mpaka magomeni.. polisi wakawahi kuzunguka nyumba yake...ndio ponea yake
Hahahaaa. Noma sana.Barcelona acheze na Wigan Athletic ...then useme lolote laweza kutokea.
Huo utakuwa kujitoa ufahamu..[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃 utamfanyaje Mkuu?Shafihii anachokitafuta atakipata, nilinyamaza sasa naona hii ni too much.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]huu Ni utabiri sio uchambuzi Mimi nafanya uchambuzi yakinifuSwahiba brave one hebu pitaga huku ukutane na Uchambuzi wa mchambuzi mwenzio.
Hahahaa. Na kweli. Tuwaachage na maigizo yao.Ugomvi wa ndugu usiingilie utaumbuka,Kazi kwenu mikia na ndugu yenuView attachment 996130
Duuuh! Shikamoo Mtani. 😀😀Huyu atakuwa na mimba ya Manala au Mo, usenge gani huu kutwa
Ndio Mashabiki wetu hao Proved.Duh!
Baadhi ya mashabiki wa Mikia ndio raha hiyo. Yaani bila matusi hawapati raha.Aiseeeee,kweli Rage hakukosea alipowaita Mambumbumbu. Matusi ya nini sasa jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeehHahahaa. Na kweli. Tuwaachage na maigizo yao.
Ha ha haa, ila hii ya Sheikh Yahya ilikuwa ni Simba vs Azam, alisema Simba haiwezi kuchukua ubingwa, lakini Simba akaifunga Azam na kubeba ndoo kabla ligi kuisha, watu walipotoka taifa wakaanza kusherehekea kwa kuelekea nyumbani kwa Sheikh Yahya, shukrani kwa FFUumenikumbusha na Sheihk Yahya na yeye nusura apigwe na mashabiki ya Simba, alipotabiri mnyama anakufa, then yanga akafa...
watu wametoka uwanjani hao, mpaka magomeni.. polisi wakawahi kuzunguka nyumba yake...ndio ponea yake
Hivyo hebu chambua hicho alichochambua Shaffih tuone unasemaje na weye Swahiba.[emoji23][emoji23]huu Ni utabiri sio uchambuzi Mimi nafanya uchambuzi yakinifu
Simba anaepata kucheza mpira mwingi Sana kule Congo na atapata ushindi mzuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app