BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
As Vita 1 Simba 2
Al alhy 2. Simba 2
Simba 3 Al alhy 1
Saoura 1 Simba 4
Simba 3 As Vita 0
Simba atamaliza na points 16 nafasi ya Kwanza uku akiwa unbeaten
Hizo nafasi zilizobaki watajijua wenyewe wajipange vipi Nani afuate na Nani akae mwisho
Hii Ni kwa mujibu wa wachambuzi nguli waliobobeka katika soka la Africa ukizi gatiwa ubora wa timu na viwango walivyotapika sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa duh, hiyo al ahly ya wapi ifungwe goli 3!!! Na vita ifungwe 3!!!
My prediction
Al ahly na Vita ndiyo watakaopita...js soura na simba wakasome kwanza...mark my words kamanda!
ila usinifikirie vibaya mimi sio Yanga....
My favourite team is WYDAD CASABLANCA 😍😍😍 Konki konki konki oil chafu...