Utabiri wa Shaffih Dauda: Msimamo wa kundi D baada ya kila timu kumaliza mechi zake

Utabiri wa Shaffih Dauda: Msimamo wa kundi D baada ya kila timu kumaliza mechi zake

[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya nyumbani)

AS Vita (3 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)

[emoji3502]AL AHLY (michezo 3 ya ugenini)

AS Vita (1 point)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)

Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2394]

[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya nyumbani)

Al Ahly (1 points)
Simba SC (3 points)
JS Soura (3 points)

[emoji3502]AS VITA CLUB (michezo 3 ya ugenini)

Al Ahly (0 point)
Simba SC (1 point)
JS Soura (3 points)

Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2389][emoji2389]

[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya nyumbani)

Al Ahly (0 points)
AS Vita (1 point)
JS Soura (3 points)

[emoji3502]SIMBA SC (michezo 3 ya ugenini)

Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
JS Soura (1 points)

Jumla ya Alama baada ya michezo 6 = [emoji2393]

[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya nyumbani)

Al Ahly (0 points)
AS Vita (0 points)
Simba SC (1 points)

[emoji3502]JS SOURA (michezo 3 ya ugenini)

Al Ahly (0 point)
AS Vita (0 points)
Simba SC (3 points)

Jumla ya Alama baada ya michezo 6 =[emoji2389]

Msimamo Kundi D baada ya Mechi 6 kukamilika

[emoji2389]. Al Ahly (16) [emoji3581]
[emoji2390]. AS Vita Club (11) [emoji3581]
[emoji2391]. Simba SC (5) [emoji3582]
[emoji2392]. JS Soura (1) [emoji3582]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kafanya utabiri mwingi kwa simba na ameproove wrong.Nadhani kwa nafasi aliyonayo kitaifa na ujulikanaji wake naona kama anashindwa kujijengea mahusiano mazuri na waTANZANIA wenzake.
Namuona Shafii kama mtu mwenye roho mbaya kupita maelezo na nina imani hata kazini alipo wenzake wana tabu sana kwa ajili yake.
Binadamu lazima uwe na kiasi katika kila jambo. Roho hii itamuumbua mwenyewe. MARK MY WORDS.

Simply prove him wrong kwa kupata matokeo.
Wachambuzi wanaweza kuwa proved wrong au wakawa karibu na ukweli. Maisha yanaendelea.
 
Haya tufanye amebet....kwan kubeti dhambi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nimesema tumepata mbahiri mpya.
Kwanza alibashiri kuwa Simba itakuwa ya mwisho. akaiita underdog.
Baada ya mechi moja akaipandisha hadi nafasi ya tatu.
Ninauhakika ataendelea kuipandisha hadi nafasi ya juu,
Ndivyo wabashiri wetu walivyo, wanaenda na upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umenikumbusha na Sheihk Yahya na yeye nusura apigwe na mashabiki ya Simba, alipotabiri mnyama anakufa, then yanga akafa...

watu wametoka uwanjani hao, mpaka magomeni.. polisi wakawahi kuzunguka nyumba yake...ndio ponea yake
Mashabiki wa Simba hawana masihara, wangempasua kweli!
 
Huyu jamaa naye sijui kwa nini anatumia nguvu kubwa hivyo wakati muda ndio utaongea. Sababu hii yake ni sawa na ramli.
 
Hahahaa. Na kweli. Tuwaachage na maigizo yao.
Umeona eeeh
Screenshot_2019-01-16-15-24-26.png
 
umenikumbusha na Sheihk Yahya na yeye nusura apigwe na mashabiki ya Simba, alipotabiri mnyama anakufa, then yanga akafa...

watu wametoka uwanjani hao, mpaka magomeni.. polisi wakawahi kuzunguka nyumba yake...ndio ponea yake
Ha ha haa, ila hii ya Sheikh Yahya ilikuwa ni Simba vs Azam, alisema Simba haiwezi kuchukua ubingwa, lakini Simba akaifunga Azam na kubeba ndoo kabla ligi kuisha, watu walipotoka taifa wakaanza kusherehekea kwa kuelekea nyumbani kwa Sheikh Yahya, shukrani kwa FFU
 
[emoji23][emoji23]huu Ni utabiri sio uchambuzi Mimi nafanya uchambuzi yakinifu
Simba anaepata kucheza mpira mwingi Sana kule Congo na atapata ushindi mzuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo hebu chambua hicho alichochambua Shaffih tuone unasemaje na weye Swahiba.

Hivyo mpaka hatua ya makundi inamaliziika mtaondoka na point ngapi?
 
Back
Top Bottom