Utabiri wa Shaffih Dauda: Msimamo wa kundi D baada ya kila timu kumaliza mechi zake

Hivyo hebu chambua hicho alichochambua Shaffih tuone unasemaje na weye Swahiba.

Hivyo mpaka hatua ya makundi inamaliziika mtaondoka na point ngapi?
As Vita 1 Simba 2
Al alhy 2. Simba 2
Simba 3 Al alhy 1
Saoura 1 Simba 4
Simba 3 As Vita 0

Simba atamaliza na points 16 nafasi ya Kwanza uku akiwa unbeaten
Hizo nafasi zilizobaki watajijua wenyewe wajipange vipi Nani afuate na Nani akae mwisho
Hii Ni kwa mujibu wa wachambuzi nguli waliobobeka katika soka la Africa ukizi gatiwa ubora wa timu na viwango walivyotapika sasa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu ntakutafta jmosi baada ya mechi
 
Koh koh koh. Tukutane jumamosi tuanze na hiyo ya kwanza.

Usikimbie maneno yako tafadhali.
 
Inaweza kua kweli ila mpira ni baada ya DK 90,,

Pia naomba niseme Duda kaandika hivi baada ya mechi ya Simba na Js Soura,kwa mawazo yake Js ni wepesi sana kila wamefungwa na Simba
Ila mm nasema sijui kama kunateam itako na ushindi kwao,,,wait and see
 
🤣🤣🤣🤣 kuna Mzungu akiiona hii patachimbika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…