Utabiri wa Shaffih Dauda: Msimamo wa kundi D baada ya kila timu kumaliza mechi zake


Hahahaaa duh, hiyo al ahly ya wapi ifungwe goli 3!!! Na vita ifungwe 3!!!

My prediction
Al ahly na Vita ndiyo watakaopita...js soura na simba wakasome kwanza...mark my words kamanda!


ila usinifikirie vibaya mimi sio Yanga....

My favourite team is WYDAD CASABLANCA 😍😍😍 Konki konki konki oil chafu...
 
Mbona alisema katika hili kundi Simba ndo mnyonge?
 
Ni mtazamo wako, JS SOURA wameshapata point ya nyumbani dhidi ya Al ahly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…