Utabiri wa Shaffih Dauda: Msimamo wa kundi D baada ya kila timu kumaliza mechi zake

Mchambuzi uchwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli huyo jamaa anakera sanaaaaaa ss mpaka hapo ktk ubashiri wake kashapotea chakaaaa maana aliwapa waarabu point 16 na vita point 11 haya ukamuukize leo huyo misri anazo point 16 ? Na huyo vita ana point 11 ? Kiukweli huyi jamaa ni HOVYO sanaaa mara kumi akachambue mchele wapa sio soka HAJUI ana bahatisha bahatisha tu
 
Huyu mjama bado yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa hata ku present data katika maandishi anashindwa akat JS Soura tayari anapoint8 huko Simba6 ila huyu kilaza anaandika 1kwa Soura na 5kwa simba atati wote washapita hizo point kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa, atapotea kwenye tasnia ya uchambuzi wa soka akiendelea kuinanga Simba. Coz Simba kila mara wanamprove wrong
Hadi sasa kwenye kundi D hakuna timu imeshinda ugenini, kazi yake huyo Shaffih kama washabiki wa Vyura ilimradi timu itoke nje ishakuwa bora, wakati hajafanya analysis ya kina mwisho wa siku group D hakuna underdog ksb hao wababe wake hakuna mmoja kachukue point 3,naomba mungu kesho atujaalie ushindi azidi kubaki mdomo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…